Get 3 audiobooks free with a 30-day Free Trial
Sign Up Free
Loading...
Welcome
Sign up
Login
Browse Books
Deals
VIP
Gifts
0
Loading...
[Swahili] - Safari ya Miskit: Stoat Jasiri
Author:
Karl Schembri
Read by:
Emma Nangila Khakula
Read
Read
Own
Own
A free trial credit cannot be used on this title
Unabridged Audiobook
Listen Now
as an Audiobooks.com member
Add to Cart - $1.99
Remove from Cart
Give as a gift
Ratings
Book
Narrator
Release Date
April 16, 2026
Duration
2 hours 14 minutes
Summary
Miskit, mnyama mdogo aina ya stoat, anapopotea msituni, anajikuta akianzisha urafiki usiotarajiwa na mbweha, konokono, na baadhi ya binadamu waliopotea pia. Safari yao ya pamoja inamwongoza katika kugundua nafsi yake na kuwa na ujasiri, huku ikimfunza namna ya kupata maana katika changamoto na hofu za maisha.
Hadithi hii ya kuvutia na yenye kugusa moyo, iliyotokana na mhusika wa Mpango wa Ujifunzaji Bora (BLP) wa Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC), inalenga kukuza uelewaji na matumaini kwa watoto waliolazimika kuhama makazi yao na waliopitia matukio magumu. Pia ni nyenzo muhimu kwa walimu na walezi duniani kote, kuwasaidia kushirikisha watoto katika mazungumzo muhimu kuhusu uelewaji wa hisia za wengine, huruma, ustahimilivu, na afya ya akili.
Toleo hili la sauti limetumia teknolojia ya sauti jumuishi ili kuunda uzoefu halisi na wa kuvutia wa usikilizaji, ambapo msikilizaji huhisi kama kwamba yupo katikati ya matukio ya hadithi.
Browse By Category
Fiction
1 book added to cart
[Swahili] - Safari ya Miskit: Sto...
Karl Schembri
Subtotal
$1.99
View Cart
Continue Browsing
~~title~~
Back
Next
~~carousel-body~~
~~book-title~~
~~author-single-string~~
~~tag-text~~
© Copyright 2011 - 2026 Storytel Audiobooks USA LLC. All Rights Reserved.